Zenji Live

  • Mwanzo
  • Kitaifa
  • Kimataifa
  • Siasa
  • Biashara
  • Michezo
  • Wanawake & Watoto
  • Kona Ya Sheria
  • Jamii

TAMWA Pemba yatahadharisha Mpeta na Udhalilishaji.

December 28, 2019 Editor 0

Imeandikwa na Salmin Juma- Pemba Email:salminjsalmin@gmail.com Mratibu wa Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania upande wa Zanzibar kisiwani Pemba, Bi Fat hiya Mussa Said […]

Serikali ya Iran yafunga huduma za intaneti kuzuia maandamano mapya

December 26, 2019 Editor 0

Serikali ya Iran Jumatano imefunga huduma za intaneti kwenye simu za mkononi katika mikoa kadhaa ya taifa hilo, siku moja kabla ya tarajio la kufanyika […]

Mzee aiba pesa na kuzitoa kama zawadi akisema ‘Merry Christmas’

December 26, 2019 Editor 0

Bwana mmoja mwenye ndevu nyeupe alifanya uvamizi wa benki siku mbili kabla ya Krismasi na kuzirusha juu kwa furaha na kuwatakia kheri ya siku kuu […]

Mgomo wa kuketi wa wajumbe waandamizi wa chama cha Kongresi cha India kulalamikia sheria mpya ya uraia

December 26, 2019 Editor 0

Shakhsia kadhaa, wakiwemo viongozi na wajumbe waandamizi wa chama kikuu cha upinzani nchini India cha Kongresi ya Taifa (INC) wamekusanyika kwenye mnara wa kumbukumbu ya […]

Burkina Faso: Wanawake wengi wauawa katika shambulio la wanajihad

December 26, 2019 Editor 0

Wapiganaji nchini Burkina Fasso wamewaua raia 35, 31 wakiwa wanawake katika shambulio lililolenga kambi moja ya kijeshi na mji nchini Burikina Faso , maafisa wamesema. […]

Hatari ya Urusi kulipuliwa: Shule, mahakama na vituo vye treni vyafungwa

December 26, 2019 Editor 0

Baadhi ya mahakama, shule na vituo vya treni vimelazimika kufungwa kutokana na kutolewa kwa onyo la bomu nchini Urusi. Kulingana na kituo cha habari cha […]

Sidebar

Please navigate to Appearance → Widgets in your WordPress dashboard and add some widgets into the Sidebar widget area.

Copyright © 2021 | All Rights Reserved by Zenji Live